Social Icons

Thursday, September 27, 2012

ALICHOKISEMA AMINI KWENYE XXL LEO


Nyota wa muziki wa kizazi kipya Bongo anayewakilisha kutoka ndani ya nyumba ya vipaji nchini THT, Amini, amesema anatarajia kumtambulisha mchumba wake mpya wakati wa shoo kubwa ya Fiesta 2012 inayotarajiwa kuchukua nafasi ndani ya jiji la Bongo Novemba 6 zaidi bonyeza Play

No comments:

Post a Comment