
Pichani kulai ni Mkuu wa mkoa wa Morogoro,Mh Joel Bendera akisoma mshindi wa Piki piki zinazotolewa na kampuni ya Push Mobile katika mchakato mzima wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012,kati ni Meneja masoko wa kampuni ya Push Mobile, Rodney Lugambwa pamoja na msanii wa kundi la Ze Comedy,Mpoki akifuatilia kwa makini tukio hilo.

Bonge la bwana a.k.a Dj Ben a.k.a JB akimtunza mapesa msanii wa kundi la Ze Comedy Orijino,Mpoki,kulia kwake ni Ray Kigosi akiwahamasisha mashabiki wapige mayowe na makofi

Msanii nyota wa Filamu hapa nchini Wema Sepetu akiwaonjesha washabiki wake kipaji kingine mbadala ya uigizaji usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012

Pichani:kulia ni Ofisa Mahusiano wa kampuni ya Clouds Media Group,Simalenga akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Mh Joel Bendera ambaye ni mgeni rasmi usiku huu ndani ya uwanja wa Jamhuri,wakati tamasha la Serengeti likiendelea kufanyika.

Mkali wa Supa Nyota,Jo Meka

Dj Zero akifanya makamuzi yake.


Vijana wengi wenye vipaji,ambao kiukweli wameonesha vilivyo kwenye jukwaa la Fiesta 2012 usiku huu.

No comments:
Post a Comment