Social Icons

Wednesday, September 19, 2012

KITUMBO CHA AMBER ROSE HIKI HAPA


Amber Rose alionesha tumbo lake

Amber Rose ameamua kulionesha tumbo lake la ujauzito linaloendelea kukuar.

Amber na mchumba wake Wiz Khalifa walitangaza kuwa wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza kwenye tuzo za MTV VMA mapema mwezi huu.
Jana asubuhi Amber alipost picha hiyo ikiwa na maneno:
“Good morning Rosebuds & Rosestuds. Our lil wizbud Is growing so fast ;-) ”
Huyo atakuwa mtoto wa kwanza wa Wiz na Amber aliyeanzisha uhusiano mpya muda mfupi baada ya kuachana na Kanye West.

No comments:

Post a Comment