Social Icons

Monday, September 3, 2012

MAKING OF CYPHER VIDEO,FNOUK STUDIO ARUSHA

MACHIZI WA UTENGWANI WAKISHOOT VIDEO YA CYPHER PANDE ZA FNOUK STUDIO
Hii ni Project itakayotoka hivi karibuni, Mpya na ambayo haijapata kutokea katika historia ya music wa Hip Hop ndani ya Arusha na Tanzania kwa ujumla. Ikiwa imekusanya wasanii tofauti tofauti, vichwa vingi na vikali ambapo wasanii wakongwe wa music wa Hip Hop ndani ya Arusha au waweza iita HIP HOP CITY na pia wapo wapya ambao hawana majina makubwa bado (underground) Katika hiyo cypher kuna wasanii wengi kama Chabba, JCB , Daz Naledge, Bou Nako, Chalii Mtoto wa Bibi, Dogo Tundu, FI Do, Lavosti, Bad Taito, Slaz,Age, Gentriez, Yung Omega,FBG (Fly But Ghetto),Bou Nako,Fim Rebol, chini ya Wanene Ent..

'Hapo chini ni baadhi ya Picha za wakati wa shooting ya video hiyo'


BABA LA MABABA CHABA NAE ALIKUWEPO KWENYE VIDEO YA CYPHER 

MO PLUS AKISHOOT VIDEO YA CYPHER PANDE ZA FNOUK STUDIO 

VATOLOCO WAKIWA NA DOGO TUNDU WAKISHOOT VIDEO YA CYPHER PANDE ZA FNOUK STUDIO 
AGE KTK VIDEO YA CYPHER PANDE ZA FNOUK STUDIO

No comments:

Post a Comment