Hapa yalikuwa yanapigwa makofi ya nguvu kuipongeza hotuba fupi ya nyota wa Bongo Fleva Sir Juma Nature wakati teem nzima ya Fiesta 2012 ilipotembelea kituo cha watoto yatima mkoani Tabora, kutoka kile ambacho Mwenyezi Mungu amekileta kwetu kwenda kwa wale wanaokihitaji zaidi.
"Asante Mungu kwa kuifanya Fiesta kuwa chaguo la kwanza la Watanzania kila inapoitwa leo kuhusu Burudani" Adam Mchomvu.
No comments:
Post a Comment