Mratibu wa Redd’s Miss Kinondoni 2012, Vivien Sirikwa (kushoto) akiwatambulisha Mkuu wa Itifaki wa Miss Tanzania Albert Makoye (kati) pamoja na Sebo ambaye ni mmoja kati ya mwanabodi wa Redd’s Miss Kinondoni 2012 wakati wa Uzinduzi wa kambi ambayo ipo hoteli ya JB Belmonte, iliyopo jengo la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Mmiliki wa hoteli ya JB Belmounte ambao ni wadhamini wa Redd’s Miss Kinondoni 2012, Bw. JB akiongea katika uzinduzi wa kambi iliyopo katika hoteli hiyo.
Washiriki wa Kinyang’anyiro cha Redd’s Miss Kinondoni wakiwa katika picha ya pamoja.
Baada ya uzinduzi warembo waliburudika na sebene.
Mauno nayo yalikuwepo.
No comments:
Post a Comment