Social Icons

Monday, September 17, 2012

SHETTA AVUTA NDINGA KWAJILI YA MTOTO WAKE

Siku chache kabla ya Qayllah (mtoto wa shetta) kutoka arobaini
baba yake amzawadia zawadi ya gari aina ya Opa mwaka 2003 rangi ya Silver....."Nisingependa mwanangu akodishiwe Tax au kudandia lift kwenye gari za watu wakati wa kupelekwa clinic na sehem mbalimbali....hivyo ndio maana nikaamua kujidhiki na kumnunulia binti yangu gari hii na pia kuudhihirishia uma ni kiasi gani nampenda na kumthamini mwanangu kipenzi" Alinena Rais huyo wa Darstamina

No comments:

Post a Comment