Social Icons

Tuesday, October 23, 2012

UJIO MPYA WA CHRISS WAMARYA HUU HAPA

 
Baada ya kutamba na ngoma maaraufu ya kilomita sita hatimaye nyota wa BONGO FLEVA Chriss Wamarya  ametoka upya na huu ndiyo ujio wake mpya akiwa na mwanadada Dyna wote kutoka mji kasoro bahari msikilize hapo halafu toa makomenti yako

No comments:

Post a Comment