Social Icons

Sunday, November 4, 2012

HUU NDIYO MKOO MPYA WA H. BABA





Hii ndiyo ndinga  ambayo mkali wa Bongo fleva  ambaye pia  anafanya kweli  kwenye  muziki wa  Dansi Bongo Jamaa  anakwenda  kwa jina  la H.Baba ambayo ameivuta juzi kati   kufuatia  kusaini mkataba na  kampuni moja kuwa   ambayo sasa  ndiyo itakuwa  kila kitu kwenye  kazi zake  sikiliza hapo chini alichokisema  kuhusu Diamond  kujisifia  kuwa  na  gari kali kuliko mastaa wote Bongo.   Baliiida

No comments:

Post a Comment