Social Icons

Tuesday, December 4, 2012

KALLAH JEREMIA : DEAR GOD SIYO WIMBO WANGU

Nyota wa muziki wa kizazi kipya  Bongo, Kallah Jerimia aliyeng'arisha nyota yake kupitia BSS amesema kuwa  ngoma yake inayotamba  hivi sasa kwenye vituo mbalimbali vya redio na runinga,  Dear God siyo yake.

In 15 minute's interview' aliyofanya na mchomvuink.blogspot.com,Kallah amefunguka kuwa, awali wakati anaandika ngoma hiyo hakuwa kufikiri kuwa iko siku Dear God utakuwa siyo wimbo wake.

"Hili tukio limetokea  Iringa wakati nilipokuwa kwenye ShowZangu, sikuwahi kufikiria kama wimbo huu utakuwa wa mashabiki kama ilivyo sasa, nimepokewa kwa shangwe pande hizo na kilichonishangza ni njinsi mashabiki walivyokuwa wanauimba hata pale mimi nilipokuwa nakaa kimywa wao waliendelea kuimba nahisi wimbo huu siyo wangu ni wa mashabiki" alisema Kallah.

 

2 comments: