Social Icons

Monday, August 20, 2012

KIDEO CHA MEXICANA LACAVELA

Kruu ya Mexicana Lacavela imeachia kideo mpya kutoa chapisho la songi lao jipya  na kwa mara ya kwanza unekicheki hapa mchomvu Ink hala utatoa makoment yako kam ajamaa wamefanya poa  au bado wanahitaji kujipanga zaidi hasa baada ya kuwa  wameondokewa na vichwa vingine kibao kutoka kundi hilo.



No comments:

Post a Comment