Siyo 'masonic' hapa nilikuwa katika pozi baada ya kumshtukia kamera man aliyetaka kunipiga picha kwa kunivizia.
Twangala akimchukua maelezo mwana ambaye licha ya kuwa mlemavu lakini alikuwa na mzuka wa kutosha juu ya Fiesta 2012
Mabeste (wa pili kushoto)akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau kibao wa muziki pande hizo ilikuwa mzuka wa fiesta 2012.
No comments:
Post a Comment