Licha ya kujulikana kama msanii mwenye mistari migumu na kuwachana nyota wengine wa muziki wa kizazi kipya Ney wa Mitego hapa dizain kama kazidiwa na mambo flani na kwa mbaliiii jicho la kurembua analionyesha
Mapema mapema, Mabeste na Shilole walianza hivi.
Baadae mambo yakawa hivi, tehetehete!
No comments:
Post a Comment