Social Icons

Tuesday, December 18, 2012

HII HAPA 'CONDOM STYLE' YA CASSIDY (Rmx ya GANGNAM STYLE)

Baada ya PSY kutoka na GangNam Style pamoja na Christmas Style nae Cassidy atoka na remix ya mdundo huo akiwa yeye anazungumzia matumizi ya Condom. Isikilize na Download.

No comments:

Post a Comment