Social Icons

Tuesday, December 18, 2012

NEW: REEZON FT. CHIBBZ & WAKAZI

Hii ni collabo kali ambayo inawakutanisha wasanii watatu toka Afrika wanaofanya vizuri sana katika game ya muziki hapa akiwepo Reezon toka Ghana, Chibbz toka Nigeria na Wakazi toka Bongo (Tanzania). Check na ngoma hii inayojulikana kama WEEKEND halafu niambie imekaaje... Mzigo kama wa ku-bang club zaidi, check hapo chini:

No comments:

Post a Comment