Filamu hii itakuwa ikionyesha uchunguzi ambao umekuwa ukifanywa kwa miaka 10 mfululizo ili kujua mienendo ya Bin Laden na jinsi anavyoishi pamoja na timu ya makomandoo ambao walisimama mstari wa mbele hadi kumaliza kazi waliyokuwa wametumwa. Filamu hii itaonyeshwa kwa mara ya kwanza leo katika baadhi ya miji ambayo imechaguliwa na itaachiwa rasmi duniani Januari 11 mwakani.
Thursday, December 20, 2012
HII NDIO TRAILER YA MOVIE YA OSAMA....
Filamu hii itakuwa ikionyesha uchunguzi ambao umekuwa ukifanywa kwa miaka 10 mfululizo ili kujua mienendo ya Bin Laden na jinsi anavyoishi pamoja na timu ya makomandoo ambao walisimama mstari wa mbele hadi kumaliza kazi waliyokuwa wametumwa. Filamu hii itaonyeshwa kwa mara ya kwanza leo katika baadhi ya miji ambayo imechaguliwa na itaachiwa rasmi duniani Januari 11 mwakani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment