Social Icons

Thursday, December 20, 2012

MZIGO MPYA WA FALLY IPUPA HUU HAPA

Kumbukumbu yako kama itakuw poa, ni juzi tu staa wa muziki wa Soukouss pande za DRC, Kfiie olomide alikuwa Bongo kwa shoo tatu kali alizozifanya ndani ya Bongo na jijini Mwanza.

Sasa stori kutoka upande wa pili wa mkali huyo zinasomeka kuwa mmoja wa mastaa ambao aliwalea kupitia kundi lake la Qualter Latin, Fally Ipupa Nsimba De Capri yu tayari kitaani na chapisho la ngoma yake mpya ambayo tayari imeanza kuwabamba vilivyo mashabiki wa muziki huo huko Kinshasa na Paris Hapo juu ndiyo kichupa cha ngoma hiyo. sooo Enjoy..... 

No comments:

Post a Comment