Social Icons

Friday, December 28, 2012

HII NDIYO NGOMA MPYA YA MENINA WA BSS


Kwa mara ya kwanza nyota yake iling'aa kupitia mchongo wa BSS ambapo licha ya kufanikiwa kuingia Top 10 alikuwa ni mmoja ya wakali waliokuwa wakitajwa sana na fans wa shindano hilo kuwa atakuja kufanya makubwa kwenye gemu ya muziki wa kizazi kipya sasa huu ndiyo ujio wake mpya

No comments:

Post a Comment