Social Icons

Thursday, December 27, 2012

ADPLUS : RUKSA KUTENGENEZA VIDEO YA JONII

YEs,  kama  kumbukumbu zako zitakuwa  poa  basi haina shaka  utakuwa  unakumbuka  kama Jumamosi iliyopita  nilitoa  ruhusa kwa  mtu yeyote  anaona anaweza fanya  video ya  ngoma yangu matata ya 'Jonii' amabayo kitambo  kidogo ilisumbua  kwenye gemu lakini  nilikuwa sijagonga  kichupa  chake kwa  masababu kibao tu.

 Round  hii nikatoa hiyo 'nike' ya watu kufanya  video na  kunitumia  nashukuru  mwitikio umekuwa  mkubwa  watu wamenigongea  4n wakisema  wameshaanza  mchakato huo na 'soon' watazidondosha  kwangu soo  kama na wewe ni mmoja wao fanya  hivyo alafu itume  kwangu video yako kupitia  adplus100@gmail.com ama bonyeza 0718489260  tusomane poa.

GONGA  PLAY KUISIKILA  NGOMA  YENYEWE

KUMBUKA VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA  (ZINGATIA  MAADILI YA KI TZ)

1 comment: