Social Icons

Thursday, December 20, 2012

KAMA ULIIKOSA HII NDIYO INTERVIEW YA Q CHILLAH NDANI YA XXL

  "Ninachoweza kukisema ni kuwa naomba radhi kwa mtu ama watu wowote ambao tulipishana kauli kipindi ambacho nilikuwa kwenye utumwa wa ulaji 'bwimbwi', nafahamu kuwa wapo watu walijitolea kwa kila hali kutaka kunisaidia lakini kwa naman moja ilishindikana kwa sababu ukiwa kwenye hali ile kila mtu utamuona mbaya" Baadhi ya maneno kutoka kinywa cha mkali wa bongo fleva  Q chillah alipokuwa kwenye Interview na Adam Mchomu na B12 ndani ya XXL SOO ISIKILIZEEEEEE 

No comments:

Post a Comment