Social Icons

Friday, December 21, 2012

MR BLUE 'ATEKWA' MOSHI KIMYA KIMYA

Ni kama ambavyo  wazungu wanavyotekwa na uzuri wa Mlima  Kirimanjaro  na kulazimika kutumia mamilioni ya dolali za kimarekani kwa ajili ya kufanya  utalii pande za Moshi Tanzania mahali ulipo mlima huo.

Sasa stori kutoka 87.9 Moshi zinasomeka  kuwa , round hii ni zamu ya mkali wa Bongo  Fleva,  Mr Blue, kimya kimya bila promo  kutekwa na uzuri wa mji wa moshi tayari kwa shoo maalum anayotarajia kuifanya wikiend hii sambambana wakali kibao kutoka kruu ya  micharazo.

Akipiga stori na mchomvuink  via 4n mapema  leo Blue a.k.a Baysser  amebreak Silence kuwa amekubali dili ya kwenda kupiga shoo moshi ili kuweka ukaribu na mashabiki wake ili kuiweka kando stori za kitambo kuwa anawachukia watu wa mji huo kufuatia  line kwenye wimbo wake wa Tabasamu' kuwa hana hisia za kichaga bali  ana hisia za kimanga.



No comments:

Post a Comment