Social Icons

Saturday, December 22, 2012

MAHOJIANO YA WADAU WA FILAM NA MUZIKI

Huu ndiyo mfululizo wa 147 Critics, ambayo ni mahojiano ya wadau wa Filamu na Muziki yaliyofanywa na TFCA- Tanzania Film Critics Association(On line Platform) kuhusiana na marekebisho ya sheria ya ushuru wa bidhaa Sura 147 ambayo yatapelekea kuanzia mwezi wa January 2013 bidhaa zote za Filamu na Muziki zilizopo hapa Tanzania kuwekewa Stamp/Sticker kwa ajili ya Kurasimisha,Kumpatia kipato halali msanii na Kukusanya mapato ya serikali yanayotokana na uuzaji wa kazi husika. Sheria hii ina changamoto nyingi ambazo kama hazitatatuliwa zinaweza kuifanya sheria husiaka isfikie malengo yake,Je wadau wanasemaje kuhusiana na hilo? Tusikilize 147 Critics : Dr. Vicensia Shule (1) akiwa ni mtu wa kwanza kutupa maoni yake

No comments:

Post a Comment