Social Icons

Wednesday, December 5, 2012

NGOMA MPYA (NSHAAMUA) KUTOKA KWA GOODLUCK

 

Anaitwa Goodlucky Rwiza G.'Lucky' mkali kutoka Bukoba ambaye sasa na afanya poa kwenye gemu ya Bongo fleva kupitia ngoma yake aliyoibatiza jina la 'Nshaamua'

Akipiga stori namchomvuink.blogspot.com leo G luck amesema kuwa ameamua kuandika ngoma hiyo kufuataia matukio kadhaa ambayo amekutana nayo akiwa katika harakati za kuweka maisha poa.
"Kaka Maisha yana mambomengi, kamama kijana nimekutan ana matukio kibao tangu nilipojitambua na kuanza kutafuta maisha, kwakuwa pia maisha yangu yapokwenye muziki ndiyo nikaamua kuandika ngoma hii" alisema G Luck.
Ngonga Play usikilize ngoma hiyo na utoe Coments zako Baliiidaah

No comments:

Post a Comment