Social Icons

Sunday, December 23, 2012

WEUSI WA MPOKI HAUFICHIKI UARABUNI:YOUNG KILLER


Hi ndo iterview ya mkali kutoka Tamaduni Muzik, Young Killer ambaye nyota yake alipata mng'aro kupitia shindano la Super Nyota, lililokuwa 'mbavuni' mwa tamasha kubwa la Fiesta 2012 akiiwakilisha Mwanza.

Hapa alikuwa akipewa kibano cha maswali na Adam Mchomvu wa Clouds Fm katika kipindi cha Bongo Fleva. Bonyeza Play .....

No comments:

Post a Comment