Social Icons

Wednesday, December 26, 2012

HILI NDIYO 'BATA' LA CHRIS BROWN, RIHANNA X-MASS HII

Rihanna na Chriss Brown wakiwa beneti huku Rihanna akilaza kichwa chake kwa Brown wakati wakifuatilia mechi kali ya Ligi Kuu ya Mpira wa Kikapu Marekani (NBA) kati ya New York Knicks na Los Angeles Lakers mjini Los Angeles.
Rihanna (kulia) ni kama  anasema "Beby mechi hii kali  lakini mwenzio kama najisisikia nanii  vile tusepe basi ...!   huku akiwa amemuegemea Chriss Brown.
 Hapa dizaini kama  CB ..akajibu... Tulia basi na wewe tucheki game unaona utaamu kuuu... Riry akacheka


Poa basi ngoja  nikuibia Popcorn zako najua  utachangamka ......
Hatimaye game ikaisha na kilichofuata ni 'Kusepa.' 

No comments:

Post a Comment