Social Icons

Wednesday, December 5, 2012

BWANA MISOSI 'AIKACHA' BONGO FLEVA

Nyota wa singo ya 'Mabiti wa Kitanga' ambayo kitambo ilifanya  poa vya kutosha kwenye gemu ya muziki wa kizazi kipya Joseph Lushahu 'Bwana misosi' soon anaachana kwa muda na utumishi wa gemu hiyo na kugeukia  rhumba.

Yes!  kupitia mchomvuink, Bwana Misosi amefunguka kuwa  siku chache zijazo anataraji kuachia ngoma yake mpya aliyoibatiza jina la 'Iweje' uliopikwa  kupitia jiko(Studio) la Hm Records yenye maskani yake mitaa ya kawe.

"Si kama  nitaacha kuimba  bongo fleva moja kwa moja, nimeamua kupiga rhumba kwa sababu ni moja ya style ambazo zipo kwenye muziki na watu wanazifanya wanatusua  soo, baada ya ngoma kutoka  kitafuatia kichupa ambacho pia kitanyongwa  hapo hapo Hm". alisema Bwana Misosi  

No comments:

Post a Comment