Social Icons

Wednesday, December 12, 2012

HANDS UP (MAKING VIDEO)

Kama ulikuwa ulikuwa mmoja wa wasikilizaji wa kipindi cha XXL cha Clouds fm jana haina shaka kuwa uliskia utambulisho wa ngoma mpya inayokwenda kwa jina la 'Hands Up' kutoka kwa kundi la 'No Name'linaloundwa na wakali kama Lamar, P Phunk na wengine wengi. sasa haya ndiyo maandalizi ya kichupa chake.

No comments:

Post a Comment