Mwanamuziki kutoka Nigeria, D'Banj a.k.a Kokomaster aachia track mpya ikiwa ni kama singo yake ya kwanza toka kuchukua mkataba wake mnono na Sony Music Entertainment. Single hiyo ambayo inafahamika kama Top Of The World imetoka kama ya kwanza ambayo itakuwa kwenye album inayokwenda kwa jina la DKM ambayo Kokomaster akiirusha kwa fans wake akiwashukuru kwa maana now wapo juu na wanafanya vizuri. DKM ni moja ya album iliyotengenezwa DB Records ambayo ni recording studio ya D'Banj.
Enjoy mzigo mpya kutoka kwa D'Banj hapa chini:
Enjoy mzigo mpya kutoka kwa D'Banj hapa chini:
No comments:
Post a Comment