Baada ya kufanya vizuri katika baadhi ya redio na televisheni kwa ngoma yake ya Dear God, Kala Jeremiah sasa ameweka wazi kwamba siku ya tarehe 20 mwezi huu anatarajia kutoka na album yake mpya inayokwenda kwa jina la Pasaka.
"Kila kitu kiko poa, Remex ya Dear God imeshakamilika, soo tarehe 20 nataraji jina langu litaanguka kitaani likiwa limepambwa na albamu ya kisasa inaitwa Pasaka, naomba wadau waipokee na kutoa sapoti yao", alisema Kalllah

No comments:
Post a Comment