Yeap!! That true Star anaeng'aa kwa sana hivi sasa nchini Tanzania, Diamond Platnumz a.k.a Rais Wa Wasafi anarekodi video ya ngoma yake mpya inayojulikana kama KESHO... what a simple title!!
Diamond anaetamba hivi sasa na track + video ya Nataka Kulewa na nyinginezo za nyuma, katika hali ya kuleta utofauti au kufanya video kali zaidi, anarekodi video hiyo huko Nairobi, nchini Kenya. Kesho ni video mpya inayofanywa na Diamond ambayo pia itawaonesha mastaa mbali mbali wa nchini humo...
Kama inavyoonekana (pichani) Platnumz anonekana na mwanamuziki mrembo kutoka Kenya, Avril ambae yeye ameshiriki kwa kiasi kikubwa katika video hiyo akiwa kama Video Queen.
Stay There.... Tukisubirie wote kichupa hiki ambacho kinaonekana cha hatari.

No comments:
Post a Comment