Baada ya kimya cha muda mrefu hatimaye staa wa singo ya 'Hata kwetu wapo' Sam wa Ukweli ametoka na chapisho la ngoma mpya aliyopachika jina la Samaki.
Akipiga stori na Mchomvuink, today, Sam amesema kuwa ameamua kuitoa ngoma hiyo ili kuwapa zawadi ya mwisho wa mwaka mashabiki wake, hasa ukizingatia kuwa alikuwa kimya ndani ya bongo kutokana na ziara za nje ya nchi.
Soo zaidi cheki kideo cha ngoma hiyo halafu utoe Comment zako..

No comments:
Post a Comment