Social Icons

Tuesday, December 11, 2012

KAULI MPYA YA KALLAH JEREMIA KUHUSU REMIX YA DEAR GOD

Staa wa ngoma ya 'Dear God' Kallah Jeremia, ametoa kauli mpya  ikiwa ni siku chache tangu  kupatikana kwa  mshindi  wa kuimba  wimbo wake huo katika shindano lilofanyika  mwishonii mwa wiki iliyopita  wakati wa shoo kubwa ta After Skul Bash iliyochukua  nafasi kwenye ufukwe wa Mbalamwezi Beach

 SOO KWA HABARI ZAIDI  GONGA PLAY KUSIKIA ALICHOKISEMA

No comments:

Post a Comment