Social Icons

Sunday, December 9, 2012

KAMA ULIIMIS AFTER SKUL BASH HII NDIYO HABARI KAMILI

Kama hukuwa mmoja ya kati ya watu zaidi ya 4000 waliojitokeza kwenye shangwe za After Skul Bash 2012 pale mbalamwezi siku ya Jumamosi.
Taarifa kutoka mchomvuink inakuhabarisha kuwa moja ya vitu vilivyotia fora kwenye shoo hiyo hiyo ni njnsi mashabiki walivyokuwa wakipokea na kuziimba nyimbo za wakali wa Bongo Fleva kan akwamba wamezitunga wao. kama ambavyo unaona kupitia kichupa hicho hapo juu hali iliendelea hivyo mpaka taimu ya msanii wa mwisho kupanda jukwaniia ambaye hata hivyo alishindwa kupafoam kutokana na muda uliopangwa na jeshi la Polisi kuwa umefika tamati hivyo kwa uchache hii ndiyo taaraifa kamili ya After Skul Bash 2012 kupitia video  

No comments:

Post a Comment