Anaitwa Dj Ziro ambaye uwezo wake ulidhihirika siku hiyo kwani hakukuwa alifanikiwa kuwarusha watu kwa ngoma kali katika muda wote aliokuwa akisimama kwenye mashine
Mr Blu, hakika kila aliyekuwapo alikiri kuwa jamaa alifanikiwa sana
B-Dozen na Dj fetty katika mtoko wa pamoja ndani ya ASB
Jamaa aling'arisha nyota yake kwenye jukwaa la ASB baaya ya kuwini ishu ya kufafana na mastaa, na kama unavyomuona mchizi sare sare na Diamond Platinamz
NI mwendo wa kuruka ngoma tu, hii ilikuwa ni taimu ambayo Mr Blue alikuwa on stage
No comments:
Post a Comment